Mtume Mteule Muhammad Mustafa - 1

Ukizingatia kuwa ni mwangaza wa Muhammad(s.a.w) ndiyo unaotoa sababu ya uhai wa viumbe wote, haiwezekani kutenda haki (katika simulizi), kwa kutumia maneno haya dhalili, kuelezea maisha ya kipekee na yasiyo doa, katika binadamu aliyeheshimika, ‘kipenzi’ cha Muumba. Lakini, manufaa yasiyohesabika yanamsubiri kila mtu, kwa mazingatio ya umahiri, katika kuthubutu kuyasimulia maisha ya Mtume aliyebarikiwa, na kuzifikisha sifa zake kwa vizazi vipya. Hivyo, tutajichukulia kuwa miongoni mwa waliopewa heshima, iwapo kupitia kazi hii.


Read In Other Languages

ALBANIAN
BASHKIR
BOSNIAN
CRIMEAN TATAR
GEORGIAN
KAZAKH
KYRGYZ
LUGANDA
MONGOLIAN
UYGHUR