Ustaarabu Wa Watu Wema - 2

Tukimtambua leo, naye atatutambua kesho mbele ya ule mkusanyiko mkubwa wa Siku ya Mwisho. Tukifikia hali ambayo tunamuona katika uhalisia basin aye atatuona. Tukisikiliza na kufanya kama asemavyo, atavisikia vilio vyetu na kutushika mkono. Kwa namna hii, tutakuwa kielelezo cha mfano wake mwema kwa wengine. Huu ndio wema mkubwa kabisa kuliko wote.


Read In Other Languages

ALBANIAN
ARABIC
KAZAKH
KYRGYZ
PORTUGUESE